Judges 2:12-13

12 aWakamwacha Bwana, Mungu wa baba zao, aliyekuwa amewatoa katika nchi ya Misri. Wakaifuata na kuiabudu miungu mbalimbali ya mataifa yanayowazunguka. Wakamkasirisha Bwana, 13 bkwa sababu walimwacha na kutumikia Baali na Maashtorethi.
Copyright information for SwhNEN